HUYU MWAMBAA ZIFUATAZO NI SIFA ZAKE
1. Ni kiongozi wa kikosi mkuu wa kikosi Cha makomando Shupavu ndani ya Jeshi la nchi ya guinea.
2. Ana masters ya Vita akiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 15 jeshini.
3. Ameshashiriki kuongoza Mission maalum za vikosi maalumu vya umoja wa mataifa (UN) nchini Afghanistan, Ivory coast, Djibouti na jamuhuri ya Africa ya Kati.
4. Kasomea pia kozi maalum za ushushushu wa kijeshi nchini ISRAEL, Cyprus na UINGEREZA.
5. Pia nchini Israel, Alitunukiwa cheti Cha Ubora uliotukuka katika kozi ya OPERATIONAL PROTECTION SPECIALIST katika chuo Cha kijeshi Cha international security academy.
6.kasomea mafunzo ya ukomando nchini ufaransa katika chuo Cha PARIS WAR SCHOOL.
7. Akihitimu mafunzo ya ukomando nchin ufaransa, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake "Excellent ability in identify and defuse risky situations by remaining calm in the face of a hostile environment and extreme pressure".
8. Akihitimu mafunzo ya ushushushu wa kivita nchini Cyprus, Mkufunzi wake alicomment yafuatayo Kwenye cheti chake "Distictive ability to adapt and improvise to any situation that requires self-control, risk assessment and rapid decision-making."
9. Kamanda mamadou Doumbouya anamiliki masters 2 Masters in defense and industrial dynamics at the University panthéon Assas Paris. masters in Defense expert in management, command and strategy.
10.kamanda mamadou Doumbouya ameshakua mwalimu wa makomando wa kigeni nchini ufaransa katika misheni maalum za umoja wa mataifa. Akifundisha somo la "risk assessment and rapid decision making"